Wasanii Zanzibar wamuombea dua Karume
Wasanii kutoka visiwani Zanzibar, wametumia wakati wao leo hii kutembelea kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kiongozi wa mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya mapinduzi ya kitaifa hapo jana.

