Dkt. Magufuli ahaidi ushirikiano na AfDB nchini
Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli amemuhakikishia mwakilishi makazi wa banki ya Maendeleo ya Africa Dkt. Tonia Kandiero kuwa serikali yake itaendelea kushirikiana na benki hiyo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali.