Walimu na wazazi watishia kuzifunga shule Morogoro
Wazazi na walimu wa shule za msingi katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wametishia kufunga shule tano zilizopo katika kata yao kutokana na shule hizo kukosa walimu huku walimu wakisusia fedha zilizotolewa na serikali kusaidia mfumo wa elimu bur
