Kukutana na Obama kwamjenga Lamar
Rapa Kendrick Lamar ambaye amepata nafasi ya kipekee ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Barack Obama Ikulu ya Marekani, ameeleza kuwa amekuwa na mazungumzo muhimu kabisa juu ya yale yanayoendelea katika nchini Marekani.

