Navy Kenzo wapanga kikosi cha kazi

Navy Kenzo

Kundi la muziki la Navy Kenzo baada ya kuchukua wasanii wawili chini ya lebo yao ya The Industry (Rosa Ree na Willdone), wameeleza kuwa ili kuhakikisha wanamudu biashara hiyo mpya, wameweka timu ambayo itakayohusika na usimamizi kazi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS