Azam FC yawaacha rasmi wachezaji sita Aliyekuwa Mlinda mlango wa Azam FC, Ivo Mapunda Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji sita kwa awamu ya kwanza huku nyota wawili wakifeli majaribio. Read more about Azam FC yawaacha rasmi wachezaji sita