Simba yasajili kiungo mwingine Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mchezeshaji, Mohammed Ibrahim 'Rasta' kutoka klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili. Read more about Simba yasajili kiungo mwingine