Niliomba sana Mungu kutwaa taji la Euro-Ronaldo
Machozi na hisia kali baada ya kuumia mapema katika fainali ya Mataifa ya Ulaya, kisha kutolewa nje dakika ya 25, kulimfanya Cristiano Ronaldo kuwa kocha msaidizi nje ya uwanja wakati akiwahamasisha wachezaji wenzake wa Ureno kuiangamiza Ufaransa.

