Kesi zaidi ya 98 za utoroshwaji madini zafunguliwa
Wakala wa ukaguzi wa Madini nchini Tanzania (TMAA) umesema kuwa kwa kipindi cha July mwaka 2012 na June 2016 jumla ya kesi 98 zimefunguliwa za utoroshwaji wa madini yenye thamani ya shilingi bil 1.3 na dola za kimarekani milioni 10.8 kwenda nje.