Ajenda ya viwanda imeanza kuzaa matunda - Serikali
Serikali imesema juhudi za ujenzi wa uchumi wa viwanda zimeanza kuonekana kupitia ongezeko maombi ya wafanyabiashara wanaotaka kufungua viwanda maeneo mbali mbali nchini, sekta ambayo ndiyo tegemeo la kuongeza fursa za ajira na kukuza pato la taifa.