Simbeye awatawa vijana nchini kuchangamkia fursa

Mwenyekiti Mtendaji wa Sekta Binafsi Nchini (TPSF), Godfrey Simbeye, amewataka vijana kujituma kwa hali na mali katika kutumia fursa zilizopo nchini ili ziweze kuwazalishia kipato ikiwa ni pamoja na kujiajiri na kuajiri vijana wengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS