Hatuwezi kuidharau Medeama - Dida Mlinda mlango wa Yanga, Deogratius Munishi 'Dida' Mlinda mlango wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' amesema hawawezi kuidharau timu ya Medeama katika mchezo wao utakaopigwa Jumamosi ya Julai 16 mwaka huu. Read more about Hatuwezi kuidharau Medeama - Dida