EWURA yatoa ufafanuzi uhaba wa Mafuta nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa nishati,maji nchini Felix Ngalamgosi.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetoa ufafanuzi kuhusu uhaba wa mafuta ya taa na kueleza kuwa mafuta ya taa yameanza kusambazwa maeneo mbalimbali ambayo yana uhaba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS