Wakuu wa Wilaya kasimamieni miradi- Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya walioteuliwa hivi karibuni kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo yao ili waweze kumuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika maeneo yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS