Kasimamieni fedha za serikali na wananchi-Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amewataka wakurugenzi aliowateua kwenda kusimamia fedha za serikali pamoja na kuondoa kero za Wananchi zinazowazunguka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS