Yanga yachapwa 1-0 na Mo Bejaia Makundi Shirikisho Yanga SC imeanza vibaya mechi za Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Mouloudia Olympique Bejaia Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia. Read more about Yanga yachapwa 1-0 na Mo Bejaia Makundi Shirikisho