Timu ya Soka ufukweni kukutana na Ivory Coast
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa miguu ya ufukweni itacheza na Ivory Coast kati ya Agasti 25, 26 na 27 mwaka huu katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za kombe la mataifa ya Afrika litakalofanyika Nigeria mwishoni mwa mwaka huu.

