Hatuwezi kuidharau Medeama - Dida

Mlinda mlango wa Yanga, Deogratius Munishi 'Dida'

Mlinda mlango wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' amesema hawawezi kuidharau timu ya Medeama katika mchezo wao utakaopigwa Jumamosi ya Julai 16 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS