Kila la kheri Yanga Walgeria lazima wafe tuu
Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa klabu ya Yanga kwa namna tofauti wameendelea kuiombea dua timu hiyo ambayo leo usiku inataraji kushuka dimbani nchini Algeria kucheza mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika.