Jambazi auawa akiwa na bunduki AK 47 Tanga
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga Kamishna msaidizi wa polisi Leonard Paul amesema Jeshi la polisi limefanikiwa kumuua mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi sugu Benjamini Wallace Singano aliyekuwa na silaha ya kivita aina ya AK. 47.