Teknolojia inasaidia kupunguza rushwa -Nikki
Rapa maarufu nchini Tanzania wa kundi la Weusi Nikki wa Pili amesema kwamba teknolojia ni muhimu sana katika utendaji wa kazi mbalimbali katika jamii kwani huondoa ukiritimba na kupunguza kupokea na kutoa rushwa.

