Vardy kuanza mechi ya Uingereza dhidi ya Slovakia

Mshambuliaji matata wa klabu ya Leicester City na timu ya Taifa ya Uingereza Jamie Vardy (pichani).

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City Jamie Vardy anatarajiwa kutajwa kuanza katika kikosi cha kwanza cha England kitakachoivaa Slovakia kwenye mechi yao ya mwisho ya kundi B ya michuano ya mataifa ya Ulaya inayopigwa nchini Ufaransa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS