Kocha mpya wa klabu ya Simba, Joseph Omog kushoto akikabidhiwa jezi na Rais wa klabu hiyo Evans Aveva, wakati aliposaini kuifundisha klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 2, Julai 1, 2016
Kocha anayejua, atatumia wachezaji aliowakuta na atakaowasajili yeye, kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe.