Hatutakubali Rais Magufuli atiwe doa - Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) amewataka wakurugenzi 185 wa halmashauri na majiji walioapishwa kufanya kazi kwa weledi na spidi nzuri inayoendana na serikali ya awamu ya tano.

.jpg?itok=whstLpi6)