CCM wanajaribu kutufunga midomo- Mbatia Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo James Mbatia amesema kwamba Chama cha Mapinduzi kinajaribu kuwafunga midomo jambo ambalo hawatakubaliana nazo hata kidogo. Read more about CCM wanajaribu kutufunga midomo- Mbatia