Dkt Mpoki asisitiza matumizi sahihi ya vyandarua
Takwimu zimeonesha idadi ya wasichana walio katika umri mdogo kati ya miaka 15-19 wanaopata mimba imeongezeka kutoka asilimia 23 mpaka asilimia 27 kutokana na mapungufu yaliyopo kwenye sheria ya ndoa ya mwaka 1971.