Hakiki Silaha kabla ya kuanza kwa msako-Mzinga Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Renata Mzinga. Jeshi la Polisi Mkoani Lindi limewataka wananchi wa mkoa ambao bado hawajahakiki silaha zao wawasilishe silaha zao kwa hiyari kabala jeshi hilo halijaanza msako wa kuzitafuta kwa operesheni maalumu. Read more about Hakiki Silaha kabla ya kuanza kwa msako-Mzinga