RollBall Tanzania waomba sapoti ya wadau nchini
Chama cha mchezo wa RollBall nchini Tanzania TRBA kinatarajia kuwa mwenyeji kwa mara ya kwanza wa michuano ya kimataifa ya mchezo huo kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati itakayofanyika mwezi Januari mwakani.