Polisi yaendelea kuimarisha ulinzi Dodoma

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa amesema kwamba suala la ulinzi na usalama katika mkoa wa Dodoma linaendelea kufanyiwa kazi kama kawaida ya jeshi la polisi kufanya kazi hiyo mahali popote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS