Mswada wa sheria vyombo vya habari kuanza upya Naibu waziri wa Habari, Sanaa, Utamuduni na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura. Serikali ya Tanzania imesema mswada wa sheria wa huduma kwa vyombo vya habari utaanza upya na kuwashirikisha wadau wa habari ili kuobresha na kuwa na faida kwa pande zote. Read more about Mswada wa sheria vyombo vya habari kuanza upya