Halmashauri Arusha zatakiwa kukuza michezo HALMASHAURI zote za Mkoa wa Arusha zimetakiwa kutenga bajeti ya michezo na kuhakikisha bajeti hiyo inatumika katika kuinua michezo na kuendeleza vipaji vya vijana katika maeneo yao. Read more about Halmashauri Arusha zatakiwa kukuza michezo