Mifuko ya hifadhi ya jamii kwa sekta zisizo rasmi

Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini SSRA, imeamua kupanua wigo wa huduma za hifadhi ya jamii kwa kuanzisha huduma za hifadhi ya jamii kwa makundi ya afya kwa watu ambao hawapo kwenye sekta rasmi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS