Dkt Chamuriho ataka uwazi katika sekta ya ujenzi

Katibu mkuu wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt Leonard Chamuriho, ametaka kuwepo na uwazi katika shughuli za ujenzi wa majengo ya serikali ili kuthibiti mianya ya rushwa ambayo inatajwa kuwepo katika sekta hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS