Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akifanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Al- Najem.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Al- Najem.