Serikali yakanusha kupunguza mishahara ya madaktar
Wizara ya afya, maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto imekanusha taarifa inayodai kuwa serikali imepanga kushusha mishahara ya madaktari kwa asilimia 30 sambamba na kufuta posho za wataalamu wa afya walio katika mafunzo kwa vitendo.

