Mpina azitwanga faini ya Mil.73 kampuni za usafiri
Kampuni nne za usafirishaji wa abiria na mizigo nchini zimetozwa faini zaidi ya shilingi Milioni 73 kwa makosa mbalimbali ya kukiuka taratibu na sheria ya mazingira ya mwaka 2004 ya usafi wa mazingira.
