Kiwango cha ufaulu kidato cha sita 2016 chashuka
Baraza la mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita ulofanyika mwezi May mwaka huu ambapo kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 1.33 ikilinganmishwa mwaka 2015.
