Bodi ya usajili wa watalam wa mipango miji yaonywa
Wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi imeitaka bodi ya usajili wa wataalamu wa mipango miji kuwachukulia hatua maofisa wa mipango miji wanaofanya kazi za sekta binafsi licha yakuwa wao niwaajiriwa wa serikali.

.jpg?itok=KlDn1K8y)