Malale Hamsini wa Ndanda sasa kuifundisha JKT Ruvu

Kuelekea msimu ujao wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara,Kikosi cha JKT Ruvu kimeendelea na maandalizi yake ikiwemo kufanya mabadiliko kwa upande wa kocha ambapo kimemchukua aliyekuwa kocha wa Ndanda FC Malale Hamsini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS