Tetemeko la ardhi laikumba Dodoma

Sehemu ya mji wa Dodoma

Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Ritcher 5.1 limeukumba mkoa wa Dodoma leo asubuhi na kuzua taharuki kwa wakazi wa mkoa huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS