Celtic yaumbuliwa na timu ya waajiriwa wa Umma
Baadhi ya waajiriwa wa umma kutoka, Idara ya zimamoto, Forodha, na biashara ya usafirishaji abiria (Teksi), wa timu ya Gibraltar imeweza kuwaumbua vigogo wa Scottland, Celtic katika mechi za kufuzu michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.

