Polisi Kilimanjaro inawashikilia majambazi wanne Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya matukio ya ujambazi katika Manispaa ya Moshi na maeneo mengine ya Mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu. Read more about Polisi Kilimanjaro inawashikilia majambazi wanne