Kuna watu hawafurahii elimu bure - Goodluck Mlinga
Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amesema kwamba kitendo cha serikali ya awamu ya tano kutangaza elimu bure nchi nzima kimewaudhi baadhi ya watu kutokana na kwamba walizoea kupata fedha za wazazi ambazo nyingine walikuwa hawazifikishi kwenye malengo.

