Watoto wa kike wanaotakiwa kuelekezewa nguvu katika kuwatunza ili watokeo chanya kwa taifa.
Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani hii leo, shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA limetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuwekeza kwa wasichana vigori.