Watoto wa kike wanaotakiwa kuelekezewa nguvu katika kuwatunza ili watokeo chanya kwa taifa.
Shirika hilo linasema kundi hili la wasichana likipewa fursa inayostahili mustakhbali wa dunia utakuwa utakuwa ni wenye manufaa, kwani hivi sasa zaidi ya wasicha vigori milioni 100 wanapitia madhila mengi ikiwemo ndoa za mapema na kukatiza ndoto zao kote duniani.
, shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA amesema kuwa kauli mbiu ya mwaka huu imejikita kwa wasichana vigori kutokana na watu wengi kutotiliwa maanani madhila yanayowapata wasichana hao ambao wengi wao huishiwa kukatisha elimu yao kutoka na kupata mimba zisizotarajiwa.
Na endapo fursa hiyo itatolewa kwa wanawake au wasichana jamii itaweza kunufaika katika nyanja mbalimbali hivyo ni lazima jamii ijikite zaidi katika kuzia wasichana hao kupata madhara ambaoyo yanawafanya washindwe kuendeleza shughuli mbalimbali za kimaendeleo.



