Man United kumtangaza Zlatan Ibrahimovic kesho
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu ujio wa mshambuliaji mrefu raia wa Sweden aliyekuwa akikipiga katika klabu ya PSG ya Ufaransa, hatimaye kesho klabu ya Manchester United inatarajia kumtangaza rasmi Zlatan Ibrahimovic kuwa mchezaji wake mpya.