Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa 'mwichi' SANGIJO NGAMBA [25] mkazi wakijiji cha Ntono kata ya Bukoli wilaya na Mkoa wa Geita amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka baada ya kudaiwa kumuua mkewe. Read more about Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa 'mwichi'