Ligi ya DAREVA kuendelea Julai 02 mwaka huu Ligi ya mpira wa wavu ya Mkoa wa Dar es salaam inatarajiwa kuendelea Julai 02 mwaka huu mara baada ya kusimamishwa ili kuvipa nafasi vilabu vya jeshi kushiriki mashindano ya jeshi. Read more about Ligi ya DAREVA kuendelea Julai 02 mwaka huu