Wanahabari watakiwa kuripoti habari kusikofikika
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunganpo wa Tanzania Majaliwa Kassim amevitaka vyombo vya habari nchini kuendelea kuhabarisha umma kuhusu matukio mbalimbali hasa sehemu zisizofikika ili serikali na wadau waweze kufahamu.