BFT wamalizana na kocha wa ngumi wa nyota tatu Kocha wa timu ya Taifa ya ngumi nchini mwenye hadhi ya nyota tatu anatarajiwa kuawasili nchini kwa ajili ya kuanza kukinoa kikosi hicho mara baada ya kikosi hicho kurejea kambini mapema mwezi ujao. Read more about BFT wamalizana na kocha wa ngumi wa nyota tatu